![]() |
| Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akihutubia na wahitimu katika Chuo cha Habari Maalum kilichopo mkoani Arusha na wageni waalikwa ,kushoto ni Mkuu wa Chuo hicho,Jackson Kaluzi. |
![]() |
| Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akimkabidhi mmoja wa wahitimu cheti cha kuhitimu Stashahada ya Uongozi katika Chuo hicho. |

Post a Comment