Pages

July 7, 2013

MAKAMU WA RAIS DK MOHAMED GHARIB BILAL AWASILI UWANJA WA NDEGE ARUSHA JIONI HII KUFUNGUA MKUTANO WA UMOJA WA POSTA BARANI AFRIKA

Makamu wa Rais,Dk Mohamed Gharib Bilal akisalimiana na PostaMaster Mkuu nchini,Deus Mdeme mara baada ya kuwasili .


Makamu wa Rais,Dk Mohamed Gharib Bilal akisalimiana na mmoja wa wananchi waliofika kumlaki  mara baada ya kuwasili .

 
 
Meneja Mawasiliano wa Mamlaka ya Mawasiliano nchini(TCRA)Innocent Mungy akifafanua jambo kwa waandishi wa habari 
Kikundi cha burudani kikionesha mambo yake kwenye uwanja wa ndege wa Arusha.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...