Pages

July 16, 2013

CHADEMA WAFANYA MAANDAMANO YA AMANI KUELEKEA OFISI YA MKURUGENZI WA JIJI LA ARUSHA .


Wafuasi wa Chadema wakiandamana kuelekea katika ofisi za Mkurugenzi wa Jiji la Arusha kwenda kumpongeza kwa kusimamia vizuri uchaguzi wa Madiwani. 
Wafuasi wa CHADEMA wakishangilia ushindi katika maandamano ya amani ya madiwani wapya na viongozi kwenda kumpongeza Mkurugenzi wa jiji kwa kusimamia uchaguzi vizuri.

Mbunge wa Arusha,Godbless Lema akiwa na madiwani wapya wakiingia katika jengo la Halmashauri jiji kuwatambulisha kwa Mkurugenzi wa jiji,Sipora Liana (Picha zote na Picha na Ferdinand Shayo)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...