Ndugu Mwanachama,
Unataarifiwa kuwa hadi sasa
waliojitokeza kuchukua fomu, kuzijaza na kuzirudisha
kwa wakati na ambao ndio
watakaopigiwa kura baada ya kukamilisha taratibu zote zilizotangazwa ikiwa ni
pamoja na kulipia fomu kwa gharama ya kila
nafasi kama ilivyotangazwa ni wafuatao;
NAFASI YA MWENYEKITI
1. Claud Gwandu
NAFASI YA MAKAMU MWENYEKITI
1. Betrice Gerald
2. Charles Ngereza
NAFASI YA KATIBU MKUU
1. Semmy Kiondo
NAFASI YA KATIBU MSAIDIZI
1. Mustafa Leu
2. Mosses Kilyinga (mgombea huyu amejaza
fomu ya kugombea lakini hata hivyo hakuilipia kama taratibu vinavyoeleza , kwa
maana hiyo hajatimiza sifa za kugombea nafasi hii kama alivyoiomba )
NAFASI YA MWEKA HAZINA
1.Pamela Mollel
2. Veronica Mheta
NAFASI YA UJUMBE (Kati ya wajumbe
wanne wanaotakiwa)
1.David Frank- Ujumbe
2.Janeth Mushi - Ujumbe
3.John Ngunge - Ujumbe
4.Queen Lema - Ujumbe
5.Daniel Sabuni - Ujumbe
Aidha uongozi wa kamati ya utendaji
ya APC inapenda kukutaarifu kuwa Mkutano Mkuu na uchaguzi utafanyika mwishoni
mwa wiki ya kwanza ya
mwezi Juni 2013 (WIKI IJAYO), tarehe
na siku ya mkutano mtatangaziwa mapema.
Ahsante
SEIF MANGWANGI
MRATIBU
No comments:
Post a Comment