![]() |
| Warembo walikuwepo kupamba show nzima ya Zuku Swahili Channel |
![]() |
| Waigizaji wa kundi maarufu la jijini Arusha wakila pozi |
![]() |
| Waratibu wakiweka mambo sawa |
![]() |
| Wadau hawakuwa nyuma kujua Zuku imewaleta mambo gani mapya |
![]() |
| Wadau wa tasnia ya filamu wakisikiliza kwa makini |
![]() |
| Meneja Mkuu wa Zuku Tanzania,Fadhili Mwasyeba akimwaga sera juu ya ubora wa king'amuzi katika mpango wa Zuku Pay TV |
![]() |
| King Majuto(kati)akiteta jambo na Maria Sarungi wakati wa uzinduzi katika hoteli ya Naura Spring jijini Arusha |
![]() |
| King Majuto hakuacha vituko kama kawaida yake |
![]() |
| Kama kawaida yake wadau walikua hoi kwa vicheko vya mkongwe wa sanaa ya vichekesho |
![]() |
| Mwenyekiti wa Tanzania Independent Producers Association,Maria Sarungi akitoa nasaha zake |











Post a Comment