Pages

June 9, 2013

PICHA 10 ZA UZINDUZI WA ZUKU SWAHILI MOVIE CHANNEL JIJINI ARUSHA,KAZI ZA WAIGIZAJI ZINATARAJIWA KUPATA SOKO KUBWA

Warembo walikuwepo kupamba show nzima ya Zuku Swahili Channel
Waigizaji wa kundi maarufu la jijini Arusha wakila pozi 

Waratibu wakiweka mambo sawa
Wadau hawakuwa nyuma kujua Zuku imewaleta mambo gani mapya

Wadau wa tasnia ya filamu wakisikiliza kwa makini
Meneja Mkuu wa Zuku Tanzania,Fadhili Mwasyeba akimwaga sera juu ya ubora wa king'amuzi  katika mpango wa Zuku Pay TV

King Majuto(kati)akiteta jambo na Maria Sarungi wakati wa uzinduzi katika hoteli ya Naura Spring jijini Arusha
King Majuto hakuacha vituko kama kawaida yake
Kama kawaida yake wadau walikua hoi kwa vicheko vya mkongwe wa sanaa ya vichekesho 
Mwenyekiti wa Tanzania Independent Producers Association,Maria Sarungi akitoa nasaha zake

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...