MAONESHO YA KARIBU FAIR YAANZA KWA KISHINDO ARUSHA,Uhamiaji yatoa somo kwa wananchi kuacha kuwatumia Vishoka kupata Passport

Maafisa wa Idara ya Uhamiaji,Tatu Burhan(wa pil kushoto)na Likas Basil wakitoa ufafanuzi juu ya mambo mbalimbali yanayohusu idara hiyo

Afisa Uhusiano wa Idara ya Uhamiaji,Tatu Burhan akionesha Hati ya kusafiria ya nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki

Wananchi wakijisomea vipeperushi

Kampuni maarufu ya kitalii ya Sunny Safaris moja ya makampuni yaliyoshiriki 

Banda la Utalii wa kitamaduni

Post a Comment

Previous Post Next Post