CHAMA CHA WASAFIRISHAJI MKOA WA ARUSHA NA KILIMANJARO(AKIBOA)CHASITISHA MGOMO WA USAFIRI

Kazi kama kawa hapa ni katika makutano ya barabara ya Makongoro jijini Arusha

Magari yakiwa kwenye Kituo  Kikuu cha Mabasi jijini Arusha leo yakiendelea na kutoa huduma baada ya kusitisha mgomo ulikuwa ufanyike kushinikiza magari aina ya Noah kuondolewa katika huduma ya kusafirisha abiria kua hayana ubora na usalama 

Post a Comment

أحدث أقدم