Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Mlama mkoani Kilimanjaro waliotembelea Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro(NCAA) iliyopo mkoani Arusha na kushuhudia Bonde la ajabu ambalo ndani yake kuna wanyama wa aina mbalimbali wakiwemo Tembo wakubwa,Faru na wengine.Wamewahimiza wanafunzi wenzao kutembelea eneo hilo ili kujifunza namna shughuli za utalii na uhifadhi zilivyo sanjari na kukuza utalii wa ndani
No comments:
Post a Comment