Pages

May 20, 2013

WADAU WA AFYA JIJINI ARUSHA LEO WAFUNDWA NJIA SAHIHI YA KUAGIZA MADAWA NA VIFAA TIBA KUTOKA MSD ILI KUEPUKA UKOSEFU WA MADAWA KWENYE HOSPITALI NCHINI

Mwakilishi wa Kaimu Mkurugenzi wa MSD,Lucy Nderimo akifungua semina leo

Mganga Mkuu wa mkoa wa Singida,Dorothy Gwajima akiwasilisha mada leo juu ya uzoefu wake wa namna ya kufikisha madawa na vifaa tiba mkoani kwake

Meneja wa Kanda ya Moshi wa MSD,Celestine Haule akiwasilisha mada

Wadau wa sekta ya afya kutoka Tanga na Moshi

Wadau wa MSD wakifatilia mada kwa makini.Picha zote na Filbert Rweyemamu

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...