| Baada ya mlipuko majeruhi wakiokolewa |
![]() |
| Majeruhi wakipelekwa hospitali |
![]() |
| Askari wakilinda usalama kwenye eneo la tukio Olasiti |
![]() |
| Mabaki ya viatu huku Polisi wakianza kuchunguza mlipuko |
![]() |
| Jengo la Kanisa Jipya lililokuwa lizinduliwe leo |
![]() |
| Padri na Mtawa ambao hawakufahamika majina yao mara moja wakiwa hawaamini kilichotokea |
![]() |
| Balozi wa Vatican nchini,Askofu Mkuu Fransis akiondolewa kwenye eneo la Kanisa hilo kwa usalama wake |
![]() |
| Balozi wa Vatican hapa nchini,Askofu Mkuu Fransis akiingia kwenye gari kuondoka |
![]() |
| Majeruhi |
![]() |
| majeruhi mwingine |
![]() |
| Mtoto nae alikuwa miongoni mwa walioathirika |
![]() |
| Majeruhi alionekana kusaidiwa muda wote |
![]() |
| Mama huyu akiugulia maumivu |
![]() |
| Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha,Liberatus Sabas akizungumza na waandishi wa habari kuwa mtuhumiwa mmoja anashikiliwa kwa mahojiano kufuatia tukio hilo |
![]() |
| Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Magesa Mulongo akizungumzia tukio hilo na hatua za kusaidia majeruhi |
![]() |
| Mbunge wa Arusha Mjini,Godbless Lema na Mbunge wa Arumeru Mashariki wakiwasili eneo la tukio Olasiti |
![]() |
| Padri Festus Mangwangi |
![]() |
| Wananchi waliojitokeza kushuhudia |
![]() |
| Mbunge wa Arumeru Mashariki,Joshua Nassari(kushoto)na Mbunge wa Arusha Mjini,Godbless Lema wakimfariji majeruhi |



















Post a Comment