Pages

May 5, 2013

MTU MMOJA AMEFARIKI DUNIA NA WENGINE KUJERUHIWA KATIKA TUKIO LILILOELEZWA NA KAMANDA WA POLISI MKOA WA ARUSHA KUWA LA KIGAIDI WAKATI WA UZINDUZI WA JENGO LA KANISA KATOLIKI PAROKIA YA MT.JOSEPH MFANYAKAZI JIJINI ARUSHA LEO

Baada ya mlipuko majeruhi wakiokolewa

Majeruhi wakipelekwa hospitali

Askari wakilinda usalama kwenye eneo la tukio Olasiti

Mabaki ya viatu huku Polisi wakianza kuchunguza mlipuko

Jengo la Kanisa Jipya lililokuwa lizinduliwe leo
Padri na Mtawa ambao hawakufahamika majina yao mara moja wakiwa hawaamini kilichotokea

Balozi wa Vatican nchini,Askofu Mkuu Fransis akiondolewa kwenye eneo la Kanisa hilo kwa usalama wake

Balozi wa Vatican hapa nchini,Askofu Mkuu Fransis akiingia kwenye gari kuondoka

Majeruhi
majeruhi mwingine

Mtoto nae alikuwa miongoni mwa walioathirika

Majeruhi alionekana kusaidiwa muda wote
Mama huyu akiugulia maumivu

Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha,Liberatus Sabas akizungumza na waandishi wa habari kuwa mtuhumiwa mmoja anashikiliwa kwa mahojiano kufuatia tukio hilo

Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Magesa Mulongo akizungumzia tukio hilo na hatua za kusaidia majeruhi

Mbunge wa Arusha Mjini,Godbless Lema na Mbunge wa Arumeru Mashariki wakiwasili eneo la tukio Olasiti

Padri Festus Mangwangi

Wananchi waliojitokeza kushuhudia
Mbunge wa Arumeru Mashariki,Joshua Nassari(kushoto)na Mbunge wa Arusha Mjini,Godbless Lema wakimfariji majeruhi

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...