MATUKIO KATIKA PICHA

Katika pitapita zangu nimekuta kibao cha Shule ya Msingi Monduli(shoto),maeneo ya Nduguti ambayo ni makao makuu ya wilaya mpya ya Mkalama mkoani Singida sina hakika kama wilayani Monduli mkoa wa Arusha kuna Shule iliyobeba jina la wilaya hiyo kongwe ambayo imebahatika kutoa Mawaziri Wakuu wawili

Biashara ni popote hapa ni kando ya barabara ya Arusha -Singida mteja akichagua Katambuga zilizoongezwa thamani ili kuvutia mteja,sehemu kubwa

Post a Comment

Previous Post Next Post