ARUSHA INTERNATIONAL CONFERENCE CENTRE(AICC)YATOA MSAADA WA MAGODORO 30 YENYE THAMANI YA TSH.3.7 MILIONI KATIKA HOSPITALI YA MOUNT MERU ILI KUWAHUDUMIA VEMA MAJERUHI WA MABOMU KANISANI
rweyemamuinfo.blogspot.com0
Afisa Itifaki Mwandamizi wa Arusha International Conference Center(AICC)Catherine Kilinda(katikati)akimkabidhi moja ya magodoro 30, Mganga Mkuu Mfawidhi wa Hospitali ya mkoa wa Arusha,Josiah Mlay leo ikiwa ni sehemu ya kusaidia huduma bora za matibabu kwa walioathirika na mabomu
Afisa
Itifaki Mwandamizi wa Arusha International Conference
Center(AICC)Catherine Kilinda(wa pili kulia)akipongezwa na muuguzi Mkuu wa hospitali ya mkoa wa Arusha,Mwamini Nyakwela baada ya kukabidhi moja ya magodoro 30,kwa Mganga Mkuu Mfawidhi wa Hospitali ya mkoa wa Arusha,Josiah Mlay leo
ikiwa ni sehemu ya kusaidia huduma bora za matibabu kwa walioathirika
na mabomu,kulia ni Matron wa hospitali hiyo,Getrude Andarson
Afisa Itifaki Mwandamizi wa Arusha International Conference
Center(AICC)Catherine Kilinda akimsikiliza
Mganga Mkuu Mfawidhi wa Hospitali ya mkoa wa Arusha,Josiah Mlay leo
baada kukabidhi msaada wa magodoro ikiwa ni sehemu ya kusaidia huduma bora za matibabu kwa walioathirika
na mabomu
Post a Comment