Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Magea Mulongo akizungumza na wananchi kabla ya kuzindua huduma ya chanjo kwa watoto walio chini ya umri wa miaka mitano. |
Mkuu wa mkoa wa Arusha,Magesa Mulongo akihutubia wananchi wakati wa uzinduzi wa kutoa huduma ya chanjo kwa walio chini ya umri wa miaka mitano,kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Arumeru,Nyirembe Munasa |
Mama akifurahia wakati mtoto akipewa chanjo na Mkuu wa mkoa wa Arusha,Magesa Mulongo |
Mkuu wa Mkoa,Magesa Mulongo akitoa chanjo ya matone kwa mmoja wa watoto |
Mtaalam wa maabara kutoka halmashauri ya wilaya ya Arusha akimpa maelezo Mkuu wa mkoa wa Arusha.Magesa Mulongo |
Mkuu wa mkoa akitembelea mabanda ya maonesho na kupata maelezo |
Mtaalamu akitoa maelezo kwa mkuu wa mkoa |
Viongozi mbalimbali kutoka kushoto ni Mganga Mkuu wa mkoa wa Arusha,Dk.Frida Mokiti,Katibu Tawala wa mkoa,Mama Itanisa na Mkuu wa wilaya ya Arumeru,Nyirembe Munasa |
Nawasalimia ndugu zangu |
Akina mama wakiwa na watoto wao wakisubiri watoto wao kupewa chanjo |
Mganga Mkuu wa halmashauri ya wilaya ya Arusha,Thobias Mkina akisalimia wananchi,Mkuu wa Mkoa(kushoto) na Diwani wa Kata ya Oljoro,Sanare Miparali |
Oljoro safiiiii |
Chanjo oyeeeeee |
Oljoro safiiiiiiii? |
Mtaalamu akimweleza Mkuu wa mkoa jambo kuhusu mapambano dhidi ya ugonjwa wa malaria kwa kutumia Vyandarua(katikati)Mganga Mkuu wa wilaya ya Arusha,Thobias Mkina |
Akina mama wakiwa na watoto wao wakielekea kupata chanjo |
Tunawapenda na kuwajali watoto wetu lazima wapate chanjo |
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Arusha akizungumza kwenye uzinduzi wa chanjo ya Polio |
Wananchi wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Magesa Mulongo |
Akina mama wakiondoka kwa furaha baada ya watoto wao kupata chanjo ya Polio |
No comments:
Post a Comment