Pages

April 16, 2013

MAKAMU WA RAIS,DK MOHAMED GHARIB BILAL AZINDUA KITABU KIITWACHO"UDHIBITI WA HUDUMA ZA KIUCHUMI TANZANIA KILICHOANDIKWA NA WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS ASIYE NA WIZARA MAALUMU,PROFESA MARK MWANDOSYA ;WADAU WAKINUNUA KAMA NJUGU

Profesa Mark Mwandosya na Mkewe,Lucy wakisaini kitabu chake kilichozinduliwa leo baada ya kununuliwa na wadau

Makamu wa Rais ,Dk Mohamed Gharib Bilal akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kufungua mkutano wa watoa huduma na kuzindua kitabu cha Profesa Mark Mwandosya

Profesa Mark Mwandosya akiendelea kusaini kitabu chake

Makamu wa Rais,Dk Mohamed Gharib Bilal akimpongeza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais asiye na Wizara Maalum,Profesa Mark Mwandosya kwa kuandika Kitabu kinachozungumzia Udhibiti wa Huduma za Kiuchumi Tanzania,anayeshuhudia ni Waziri Maji,Profesa Jumanne Maghembe
Mwonekano wa Kitabu kwa nje

Profesa Mark Mwandosya akijibu maswali ya waandishi wa habari,Eliya Mbone wa gazeti la Mtanzania na Zephania Ubwani wa The Citizen baada kuzindua kitabu chake

Profesa Mark Mwandosya akijibu maswali ya waandishi wa habari  Zephania Ubwani wa The Citizen(Arusha)jijini Arusha leo na Queen Lema wa Majira(Arusha) baada kuzindua kitabu chake


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...