![]() |
| Viongozi wa taasisi za umma na wadau wa sekta ya habari wakifatilia mada zilizokua zikiwasilishwa katika mkutano huo. |
![]() |
| Msemaji Mkuu wa serikali na Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari Maelezo,Dk Abbas Hassan akizungumza kwenye mkutano wa mwaka wa elimu kwa umma ulioandaliwa na shirika la utangazaji la Tanzania(TBC). |
![]() |
| Meneja Mawasiliano wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro(NCAA),Joyce Mgaya akitoa mada inayohusu eneo hilo ambalo ni urithi wa dunia. |
![]() |
| Mkurugenzi wa Utalii na Masoko wa Shirika la Hifadhi za Taifa(Tanapa),Ibrahim Mussa akizungumzia hali ya utalii nchini ilivyo ukilinganisha na nchi jirani. |
| Maafisa Waandamizi kutoka mashirika mbalimbali ya serikali wakifatilia mada kwa makini. |
![]() |
| Mzee Samweli Kasori aliyewahi kuwa Katibu wa Rais wa Kwanza wa Tanzania,Mwalimu Julius Nyerere akichangia hoja kwenye mkutano huo. Imeandaliwa na www.rweyemamuinfo.blogspot.com |







Post a Comment