Mkurugenzi
wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully
Mwambapa (wa pili kulia), akishiriki maandamano ya washiriki wa Mkutano
Mkuu wa Taasisi ya GS1 jijini Dar es Salaam. Maandamano yakielekea ukumbini.
Mwenyekiti
wa Bodi ya GS1 Tanzania, Gideon Mazara (wa kwanza kulia), akiwashiriki
maandamano wakati wa kuingia ukumbini katika Mkutano Mkuu wa Mwakwa wa
taasisi hiyo.
Kutoka
kushoto ni Mkurugenzi wa Fedha wa Benki ya CRDB, Frederick Nshakanabo,
Mkurugenzi wa Huduma Mbadala wa Benki ya CRDB, Philip Alfred na Msaidizi
wa Mkurugezi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Kenny Kasigila.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (katikati), akipokea maandamano ya washiriki wa mkutano wa GS1.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa, akimkabidhi cheti cha shukrani Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, kwa kutambua
udhamini wa benki ya CRDB katika Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Global
Standard (GS1), taasisi hiyo inajishughulisha na uwekaji wa Barcodes
katika bidhaa za kitanzania ili ziweze kukubalika katika soko la
kimataifa na pia kuwa mdau wa kufanikisha sekta ya viwanda nchi mkutano
huo ulifanyika jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya
GS1 Tanzania, Gideon Mazara.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei,akizungumza
katika Mkutano wa Mkuu wa Taasisi ya GS1 ambao ni watumiaji wa
Simbomilia (Barcodes).
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei (kushoto), akiwa na baadhi
ya watendaji wa benki hiyo katika mkutano wa Mwaka wa taasisi ya GS1.
Mkurugenzi
wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benmki ya CRDB, Tully
Mwambapa akiteta jambo na Mkurugenzi wa Fedha wa Benki hiyo, Frederick
Nshakanabo, katika mkutano huo.
Mkutano ukiendelea.
Washiriki wa mkutano huo.
No comments:
Post a Comment