Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakizungumza na Mama Maria Nyerere
wakati walipomtembelea nyumbani kwake Mwitongo, Butiama Januari 20,
2018.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakiongozana na Mama Maria Nyerere
kuingia kwenye uwanja wa Mwenge katika mkutano wa hadhara uliohutubiwa
na Waziri Mkuu katika kijiji cha Butiama Januari 20, 2018.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mama Maria Nyerere wakati
alipomtembelea nyumbani kwake Mwitongo, Butiama Januari 20, 2018. Kulia
ni mkewe Mary .
Mke wa
Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa akiwasha mshumaa kwenye kaburi la Baba
wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere eneo la Mwitongo, Butiama, Januari 2018.
Wapili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima na kushoto ni mkewe
Naima .
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakiweka shada la maua kwenye
kaburi la Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere eneo la Mwitongo,
Butiama Januari 20, 2018.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa , Mkewe Mary na Mama Maria Nyerere wakiwapungia
wananchi katika mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa katika uwanja wa Mwenge kijijini Butiama Januari 20, 2018
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Mwenge katika kijiji cha Butiama Januari 20, 2017
Wananchi
wa Butiama wakimshangilia Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati
alipohutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Mwenge katika kijijini
hapo Januari 2018
Mke wa
Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa akiwasalimia wananchi wa kijiji cha
Butiama katika mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa kwenye uwanja wa Mwengekijijini hapo Januari 20, 2018.
Mama
Maria Nyerere akiwasalimia wananchi wa Butiama katika mkutano wa hadhara
uliohutubiwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye uwanja wa Mwenge
kijijini hapo Januari 20, 2018.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
No comments:
Post a Comment