RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed,
akiendelea na ziara yake katika Nchini za Umoja wa Falme za Nchi Kiarabu
UAE, akitembelea Kiwanda cha Samaki Sharjah East Fishing Prosessing,
kujionea utaalamu wa kuhifadhi samaki na kusafirishwa nje
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,
akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni hiyo K.V.Thomas
jinsi ya kuhifadhi samaki na ufanyaji wa peki kwa ajili ya kusafirisha
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,
akipata maelezo ya utayarishaji wa Kambo hadi kupekiwa kwa ajili ya
kusafirishwa nje ya Nchi na katika Soko la ndani akiwa katika ziara yake
katika Nchi za Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu UAE
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,
akipata maelezo ya picha katika gazeti la kiwanda hicho kutoka kwa
Mkurugenzi Mkuu wa Sharjah East Fishing Processing K.V.Thomas , akiwa
katika ziara ya Kiserikali katika Nchi za Umoja wa Nchi za Kiarabu UAE

akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha Sharjah East Fishing
Processing K.V.Thomas, bada ya kumaliza ziara yake kutembelea kiwanda
hicho
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,
akikabidhiwa mfano Jahazi na Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha Sharjah
East Fishing Processing K.V.Thomas, baada ya kumaliza ziara yake
kutembelea kiwanda hicho.
No comments:
Post a Comment