Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
akilakiwa na mtoto wa marehemu Amani Kisanga alipowasili na Mama Janeth
Magufuli kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa Jaji Mstaafu wa Mahakama
ya Rufani Tanzania Mhe. Robert Kisanga nyumbani kwa marehemu Oysterbay
Jijini Dar es Salaam leo Jumapili Januari 28, 2018.

wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akitia
saini kitabu cha maombolezo na kisha kutoa heshima za mwisho kwa mwili
wa Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani Tanzania Mhe. Robert Kisanga
nyumbani kwa marehemu Oysterbay Jijini Dar es Salaam leo Jumapili
Januari 28, 208.

akimfariji mjane wa marehemu Mama Maria Kisanga baada ya kutia saini
kitabu cha maombolezo na kisha kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa Jaji
Mstaafu wa Mahakama ya Rufani Tanzania Mhe. Robert Kisanga nyumbani kwa
marehemu Oysterbay Jijini Dar es Salaam leo Jumapili Januari 28, 2018.

wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli na
mkewe Mama Janeth Magufuli wakimfariji mjane wa marehemu Mama Maria
Kisanga baada ya kutia saini kitabu cha maombolezo na kisha kutoa
heshima za mwisho kwa mwili wa Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani
Tanzania Mhe. Robert Kisanga nyumbani kwa marehemu Oysterbay Jijini Dar
es Salaam leo Jumapili Januari 28, 2018.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
akiwafariji mjane wa marehemu Mama Maria Kisanga na mtoto wa marehemu
Amani Kisanga baada ya kutia saini kitabu cha maombolezo na kisha kutoa
heshima za mwisho kwa mwili wa Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani
Tanzania Mhe. Robert Kisanga nyumbani kwa marehemu Oysterbay Jijini Dar
es Salaam leo Jumapili Januari 28, 2018.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli na
mkewe Mama Janeth Magufuli wakifanya maombi pamoja na mjane wa marehemu
Mama Maria Kisangana mtoto wa marehemu Amani Kisanga na waombolezaji
wengine baada ya kutia saini kitabu cha maombolezo na kisha kutoa
heshima za mwisho kwa mwili wa Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani
Tanzania Mhe. Robert Kisanga nyumbani kwa marehemu Oysterbay Jijini Dar
es Salaam leo Jumapili Januari 28, 2018.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli na
mkewe Mama Janeth Magufuli wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Jaji
Mstaafu wa Mahakama ya Rufani Tanzania Mhe. Robert Kisanga nyumbani kwa
marehemu Oysterbay Jijini Dar es Salaam leo Jumapili Januari 28, 2018.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akitoa
pole kwa waombolezaji baada ya kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa
Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani Tanzania Mhe. Robert Kisanga nyumbani
kwa marehemu Oysterbay Jijini Dar es Salaam leo Jumapili Januari 28,
2018.

Mama
Janeth Magufuli akimfariji mjane wa marehemu Mama Maria Kisanga baada
ya kutia saini kitabu cha maombolezo na kisha kutoa heshima za mwisho
kwa mwili wa Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani Tanzania Mhe. Robert
Kisanga nyumbani kwa marehemu Oysterbay Jijini Dar es Salaam leo
Jumapili Januari 28, 2018.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
akiongea na mtoto wa marehemu, Amani Kisanga, baada ya kutoa heshima za
mwisho kwa mwili wa Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani Tanzania Mhe.
Robert Kisanga nyumbani kwa marehemu Oysterbay Jijini Dar es Salaam leo
Jumapili Januari 28, 2018. Pamoja nao kushoto ni Jaji Mkuu wa Tanzania,
Profesa Ibrahim Hamis Juma na kulia ni Waziri wa Sheria na Katiba
Profesa Palamagamba Kabudi.

Waheshimiwa
Majaji na waombolezaji wengine wakiwa kwenye msiba wa Jaji Mstaafu wa
Mahakama ya Rufani Tanzania Mhe. Robert Kisanga nyumbani kwa marehemu
Oysterbay Jijini Dar es Salaam leo Jumapili Januari 28, 2018.

Waziri
Mkuu Mstaafu Jaji Joseph sinde Warioba akiwa na waombolezaji wengine
kwenye msiba wa Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani Tanzania Mhe. Robert
Kisanga nyumbani kwa marehemu Oysterbay Jijini Dar es Salaam leo
Jumapili Januari 28, 2018.
Majaji Wastaafu na waombolezaji
wengine kwenye msiba wa Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani Tanzania
Mhe. Robert Kisanga nyumbani kwa marehemu Oysterbay Jijini Dar es
Salaam leo Jumapili Januari 28, 2018.
Sehemu ya waombolezaji
kwenye msiba wa Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani Tanzania Mhe. Robert
Kisanga nyumbani kwa marehemu Oysterbay Jijini Dar es Salaam leo
Jumapili Januari 28, 2018.
Sehemu ya waombolezaji
kwenye msiba wa Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani Tanzania Mhe. Robert
Kisanga nyumbani kwa marehemu Oysterbay Jijini Dar es Salaam leo
Jumapili Januari 28, 2018.
Sehemu ya waombolezaji
kwenye msiba wa Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani Tanzania Mhe. Robert
Kisanga nyumbani kwa marehemu Oysterbay Jijini Dar es Salaam leo
Jumapili Januari 28, 2018.
Sehemu ya waombolezaji
kwenye msiba wa Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani Tanzania Mhe. Robert
Kisanga nyumbani kwa marehemu Oysterbay Jijini Dar es Salaam leo
Jumapili Januari 28, 2018.
Sehemu ya waombolezaji
kwenye msiba wa Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani Tanzania Mhe. Robert
Kisanga nyumbani kwa marehemu Oysterbay Jijini Dar es Salaam leo
Jumapili Januari 28, 2018.
Sehemu ya waombolezaji
kwenye msiba wa Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani Tanzania Mhe. Robert
Kisanga nyumbani kwa marehemu Oysterbay Jijini Dar es Salaam leo
Jumapili Januari 28, 2018.
Sehemu ya waombolezaji
kwenye msiba wa Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani Tanzania Mhe. Robert
Kisanga nyumbani kwa marehemu Oysterbay Jijini Dar es Salaam leo
Jumapili Januari 28, 2018.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
akiagana na Jaji Kiongozi Jaji Ferdinand Wambali baada ya kutoa
heshima za mwisho kwa mwili wa Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani
Tanzania Mhe. Robert Kisanga nyumbani kwa marehemu Oysterbay Jijini Dar
es Salaam leo Jumapili Januari 28, 2018.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
akiagana na Jaji Mstaafu Thomas Mihayo baada ya kutoa heshima za
mwisho kwa mwili wa Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani Tanzania Mhe.
Robert Kisanga nyumbani kwa marehemu Oysterbay Jijini Dar es Salaam leo
Jumapili Januari 28, 2018.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Mstaafu Joseph sinde Warioba
baada ya kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa Jaji Mstaafu wa Mahakama
ya Rufani Tanzania Mhe. Robert Kisanga nyumbani kwa marehemu Oysterbay
Jijini Dar es Salaam leo Jumapili Januari 28, 2018.
Kikosi cha Skauti kikiwa chini Kamishna Mkuu wa Skauti Tanzania MheshimiwaAbdulkarim Shah kikiwa tayari kuhudumia kwenye msiba wa Jaji
Mstaafu wa Mahakama ya Rufani Tanzania Mhe. Robert Kisanga nyumbani kwa
marehemu Oysterbay Jijini Dar es Salaam leo Jumapili Januari 28, 2018. Picha na IKULU
No comments:
Post a Comment