Mkurugenzi wa Huduma za Masoko Tigo, William Mpinga(katikati)
akifafanua jambo wakati akizungumza na waandishi wa habari kwenye
mkutano wa kutambulisha wasanii watakaopanda katika jukwaa la Tigo
Fiesta siku ya jumamosi viwanja vya Leaders jijini Dar Es Salaam . Kulia ni Mwenyekiti wa kamati ya Tigo Fiesta, Sebastian Maganga
na wengine ni wasanii.
Msanii Ben Pol akizungumza na waandishi wa Habari kwa niaba ya wasanii wa kiume .
Msanii Vanessa Mdee akizungumza na waandishi wa Habari kwa niaba ya wasanii wa kike
Msanii Barnaba akiwa na wafanyakazi wa kampuni ya Tigo
Mdau akipata picha na msanii Vanessa. Wasanii Aslay na Rich Mavoko wakisalimiana jna wafanyakazi wa duka la Tigo Mlimani city walipotembelea duka hilo.

Mkurugenzi mkuu wa Tigo Tanzania Simon Karikari akisalimiana na msanii Vanessa Mdee.

No comments:
Post a Comment