Mganga
Mkuu wa Serikali wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Prof Mohamemed
Kambi akizungumza wakati wa ufunguzi wa Kongamano la nne la Wadau wa
Sekta ya Afya nchini lililofanyika katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere
jijini Dar es Salaam, ambalo lilipata fursa ya kujadili jinsi ya
kuboresha utoaji wa huduma katika sekta ya Afya Tanzania.
Rais
wa Kongamano laNne la Wadau wa Sekta ya Afya nchini, DK Omari Chilo
akizungumza kabla ya kumaribisha mgeni rasmi wakati wa ufunguzi rasmi wa
Kongamano la nne la wadau wa sekta hiyo lililofanyika Jijini Dar es
Salaam leo.
Kiongozi
Mkuu wa HDIF, David McGinty akizungumza katika Mdahalo wa mabadiliko
ya Sayansi Ubunifu na Sera katika kuboresha utoaji wa huduma za Afya
wakati waKongamano la nne la wadau wa Sekta ya Afya nchini
Mratibu
wa wa Kongamano la 4 la Sekta ya Afya nchini Dr Peter Maduke
akizungumza wakati wa kongamno hilo likiwa linaendelea katika ukumbi wa
Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam
Baadhi ya Madaktari waliohudhuria Kongamano la Nne la Wadau wa Sekta ya Afya nchini
Meneja
wa Tanzania kutoka kampuni ya Sproxil, Ashok Maurya, akimueleza mmoja
wa wadau wa Sekta ya Afya namna ya mradi wa huduma ya simu za mkononi
katika sekta ya Afya unavyofanya kazi.
Mtaalamu
wa Mawasiliano kutoka HDIF, Hannah Mwandolomo akitoa ufafanuzi kwa
wadau waliofika katika banda la maonesho ya programu hiyo wakati wa
Kongamano la nne la wadau wa sekta ya Afya nchini lililofanyika katika
ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Afisa
Mkuu wa programu ya DTREE International,Erica Layer akizungumza na
wadau wanaofadhiliwana mradi wa HDIF wakati wa Kongamano la 4 la sekta
ya Afya nchini

إرسال تعليق