MATUKIO YA KIKAO CHA BARAZA LA MADIWANI JIJINI ARUSHA


Madiwani wa halmashauri ya Jiji la Arusha wakiwa kwenye kikao cha baraza la madiwani kilichofanyika kwenye ukumbi wa ofisi Mkuu wa mkoa.Picha zote na Filbert Rweyemamu
Diwani wa Kata ya Ngarenano halmashauri ya jiji la Arusha,Isaya Doita akizungumza kwenye kikao cha baraza la madiwani kilichofanyika kwenye ukumbi wa ofisi Mkuu wa mkoa.
Diwani wa Kata ya Kaloleni halmashauri ya jiji la Arusha,Emmanuel Kessy akizungumza kwenye kikao cha baraza la madiwani kilichofanyika kwenye ukumbi wa ofisi Mkuu wa mkoa.

Madiwani wa halmashauri ya Jiji la Arusha wakiwa kwenye kikao cha baraza la madiwani kilichofanyika kwenye ukumbi wa ofisi Mkuu wa mkoa.
Mkurugenzi wa halmashauri ya jiji la Arusha,Athumani Kihamia akizungumza kwenye kikao cha baraza la madiwani kilichofanyika kwenye ukumbi wa ofisi Mkuu wa mkoa.

Post a Comment

أحدث أقدم