Spika
wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia)akisalimiana na Balozi wa
Uingereza nchini, Sarah Cooke (kushoto) pale ugeni kutoka ubalozi huo
ulipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma. katikati ni Mwakilishi
Mkazi wa DFID hapa nchini, Ndg. Beth Arthy.
Spika
wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto)akizungumza na Balozi wa
Uingereza nchini, Sarah Cooke (katikati) na Mwakilishi Mkazi wa DFID
hapa nchini, Ndg. Beth Arthy, pale ugeni kutoka ubalozi huo
ulipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika
wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto)akimsikiliza Balozi wa
Uingereza nchini, Sarah Cooke (katikati) na kulia ni Mwakilishi Mkazi
wa DFID hapa nchini, Ndg. Beth Arthy, pale ugeni kutoka ubalozi huo
ulipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika
wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto)akiagana na Balozi wa
Uingereza nchini, Sarah Cooke (kushoto) pale ugeni kutoka ubalozi huo
ulipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma. katikati ni Mwakilishi
Mkazi wa DFID hapa nchini, Ndg. Beth Arthy
Spika
wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (katikati)akiwa katika picha ya pamoja
na ugeni kutoka ubalozi wa Uingereza uliomtembelea leo Ofisini kwake
Mjini Dodoma. ulioongozwa na Balozi wa Uingereza nchini, Sarah Cooke
(watatu kulia).
Katibu
wa Bunge, Dkt. Thomas Kashililah (kulia) akizungumza na Balozi wa
Uingereza nchini, Sarah Cooke (kushoto) pale ugeni kutoka ubalozi huo
ulipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Katibu
wa Bunge, Dkt. Thomas Kashililah (kulia) akimsikiliza Balozi wa
Uingereza nchini, Sarah Cooke (kushoto) pale ugeni kutoka ubalozi huo
ulipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Katibu
wa Bunge, Dkt. Thomas Kashililah (wa pili kulia) akiwa katika picha ya
pamoja na ugeni kutoka Ubalozi wa Uingereza ulioongozwa na Balozi wa
Uingereza nchini, Sarah Cooke (katikati) ulipomtembelea leo Ofisini
kwake Mjini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
No comments:
Post a Comment