Wanaharakati
walioshiriki changamoto ya kupanda Mlima Kilimanjaro wakiimba na
kucheza wakati wakishuka kutoka Mlima Kilimanjaro.
Timu
ya Wanaharakati 86 kutoka taasisi na kampuni mbalimbali walioshiriki
changamoto ya kupanda Mlima Kilimanjaro kwa ajili ya kuchangisha fedha
za kusaidia mapambano dhidi ya Ukimwi wakishuka kutoka katika kilele cha
Uhuru.
Mkuu
wa Mkoa wa Kilimanjaro,Anna Mngwira akijiandaa Timu ya Wanaharakati
wakati wakishuka kutoka kilele cha Uhuru ,Mlima Kilimanjaro.
Mkurugenzi
wa Kampuni ya Utalii ya Zara ,Zainabu Ansel (katikati) akiowangoza
wanaharakati hao wakati wakishuka katika lango la Mwika.
Mkuu
wa Mkoa wa Kilimanjaro,Anna Mngwira akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya
Geita ,Herman Kapufi aliyeshiriki Changamoto ya kupanda Mlima
Kilimanjaro kwa ajili ya kuchangisha fedha za mapambano ya Ukimwi.
Mkuu
wa Mkoa wa Kilimanjaro,Anna Mngwira (kulia ) akiwa na Mkuu wa wilaya ya
Rombo ambaye ni kaimu Mkuu wa wilaya ya Moshi,Agnes Hokororo (katikati)
na kushoto ni Katibu Tawala mkoa wa Kilimanjaro, Mhandisi ,Aisha Amour .
Mkurugenzi
Mkuu wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi ,TACAIDS ,Dkt Leonard Maboko
akizungumza katika hafla fupi ya kuwapokea wanaharakati hao.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Anna Mngwira akitoa hotuba yake ya kwanza wakati w hafla fupi ya kuwapokea wanaharakati hao.
Mkuu
wa Mkoa wa Kilimanjaro,Anna Mngwira akipeana mkono na Kaimu Mkurugenzi
wa Mgodi wa dhahabu wa Geita,Richard Jordnson mara baada ya kutoa hotuba
yake.
Wawakilishi
wa Benki ya NMB,wakiongozwa na Meneja wa NMB tawi la Nelson Mandela
mjini Moshi ,Emanuel Kishosha wakifuatilia hafla hiyo ,NMB ni moja kati
ya taasisi zilizochangia katika kufanikisha wanaharakati kupanda Mlima
Kilimanjaro kwa ajili ya kuchangisha fedha za mapambano dhidi ya Ukimwi.
Mkuu
wa Mkoa wa Kilimanjaro,Anna Mngwira akitoa vyeti kwa wanaharakati 42
kati ya 50 waliopanda na kufanikiwa kufika kilele cha Mlima Kilimanjaro.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mgodi wa Dhahabu ,Richard Jordnson akitoa hotuba yake wakati wa hafla hiyo.
Mkuu
wa wilaya ya Rombo,Agnes Hokororo ambaye pia ni kaimu mkuu wa wilaya ya
Moshi akizungumza wakati wa hafla fupi ya mapokezi ya wanaharakati
walioshiriki zoezi la kupanda Mlima Kilimanjaro kwa ajili ya kuchangisha
fedha za mapambano ya Ukimwi.
Kaimu mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro,Charles Ngendo akizungumza katika hafla hiyo.
Wanaharakati
katika changamoto ya kupanda Mlima Kilimanjaro kwa ajili ya kuchangisha
fedha za mapambano ya Ukimwi kupitia kampeni ya Kili Challange
inayoratibiwa na Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGM) wakiwa katika picha ya
pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mngwira.
No comments:
Post a Comment