Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mhandisi Hamad Masauni(wa pili
toka kulia) akiwaongoza kuimba wimbo wa Taifa la Tanzania Wakuu wa
Magereza/Taasisi za Urekebishaji za Nchi Wanachama wa Jumuiya ya
Maendeleo ya Kusini mwa Afrika – SADC – Corrections/Prisons Sub
Committee(hawapo pichani). Wa pili kulia ni Kamishna Jenerali wa
Magereza nchini Dkt. Juma Malewa, (wa kwanza kutoka kushoto) ni Mjumbe
wa Sekretarieti ya SADC, Bw. Maemo Machete. Mkutano huo unafanyika kwa
siku moja leo Juni 11, 2017 katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mwl. Julius
Nyerere, Jijini Dar es Salaam.
Kamishna
Jenerali wa Magereza nchini Dkt. Juma Malewa ambaye ni Mwenyekiti wa
Mkutano huo wa Wakuu wa Magereza/Taasisi za Urekebishaji za Nchi
Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika – SADC –
Corrections/Prisons Sub Committee akitoa maelezo mafupi kabla ya
kumkaribisha mgeni kufungua rasmi mkutano huo wa siku moja.
Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mhandisi Hamad Masauni akitoa
hotuba ya ufunguzi rasmi wa Mkutano wa Wakuu wa Magereza/Taasisi za
Urekebishaji za Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa
Afrika – SADC – Corrections/Prisons Sub Committee uliofanyika leo Juni
11, 2017 katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mwl. Julius Nyerere, Jijini Dar
es Salaam.
Baadhi
ya Wajumbe wa Mkutano huo toka nchi za SADC wakifuatilia hotuba ya
Mgeni rasmi(wa kwanza kulia) ni Kamishna wa Utawala na Fedha wa Jeshi la
Magereza Gaston Sanga.
Mwenyekiti
wa Mkutano wa Wakuu wa Magereza/Taasisi za Urekebishaji za Nchi
Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika – SADC –
Corrections/Prisons Sub Committee ambaye ni Kamishna Jenerali wa
Magereza nchini Dkt. Juma Malewa akiongoza Kikao hicho kama
inavyoonekana katika picha.
Wajumbe
wa Mkutano huo toka nchi za SADC wakifuatilia majadiliano kama
wanavyoonekana katika picha(katikati) ni Mkuu wa Magereza nchini
Botswana, Silas Motlalekgosi.
.
Kamishna Jenerali wa Magereza nchini Dkt. Juma Malewa(kulia) ambaye ni
Mwenyekiti wa Mkutano huo akiteta jambo na Mjumbe wa Sekretarieti ya
Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika – SADC, Bw. Maemo Machete.
Wajumbe
wa kutoka Jeshi la Magereza Tanzania wakipitia baadhi ya nyaraka
mbalimbali za Mkutano huo(kulia) ni Mkuu wa Magereza Mkoa wa Pwani,
SACP. Boyd Mwambigu(katikati) ni Kaimu Mkuu wa Magereza Mkoa wa
Morogoro, SACP. Mzee Ramadhan Nyamka(kushoto) ni SACP. Justine
Kaziulaya.
Mgeni
rasmi Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mhandisi Hamad
Masauni (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Mkutano wa
Wakuu wa Magereza/Taasisi za Urekebishaji za Nchi Wanachama wa Jumuiya
ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika mara baada ya ufunguzi wa Mkutano wa
Wakuu wa Taasisi za Magereza toka nchi za SADC. Wa tatu toka kulia ni
Kamishna Jenerali wa Magereza, Dkt. Juma Malewa(Picha zote na Kitengo
cha Habari na Mawasiliano – Jeshi la Magereza).
Mgeni
rasmi Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mhandisi Hamad
Masauni (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Wakuu wa
Magereza/Taasisi za Urekebishaji za Nchi Wanachama wa Jumuiya ya
Maendeleo ya Kusini mwa Afrika mara baada ya ufunguzi wa Mkutano wa
Wakuu wa Taasisi za Magereza toka nchi za SADC. Wa tatu toka kulia ni
Kamishna Jenerali wa Magereza, Dkt. Juma Malewa.
No comments:
Post a Comment