Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) na Mkewe Mama Mwanamwema Shein (kushoto) pamoja na Mshauri
wa Rais Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Uchumi pia
Mwenyekiti wa Kamati ya Uchangiaji Vifaa vya Michezo katika Skuli za
Serikali za Zanzibar Mhe.Mohamed Ramia wakiangalia picha ya zamani
wakati Dk.Shein alivyokuwa akishiriki mchezo wa Riadha katika Skuli ya
Lumumba picha hiyo iliyofikishwa katika hafla ya uchangiaji wa Vifaa vya
michezo katika Skuli za Serikali za Zanzibar iliyofanyika jana katika
viwanja vya Ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini
Unguja,[Picha na Ikulu.] 20/05/2017.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
na Mkewe Mama Mwanamwema Shein (katikati) wakiwa na Viongozi mbali mbali
katika hafla ya uchangiaji wa Vifaa vya michezo katika Skuli za
Serikali za Zanzibar iliyofanyika jana katika Ukumbi wa zamani wa
Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini Unguja akiwepo Rais Mstaafu wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi (wa pili
kulia),[Picha na Ikulu.] 20/05/2017.
Waziri
wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Riziki Pembe Juma alipokuwa akitangaza
mchango wake wa Milioni moja kumdhamini Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika hafla ya uchangiaji
wa Vifaa vya michezo katika Skuli za Serikali za Zanzibar iliyofanyika
jana katika viwanja vya Ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi
Mmoja Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 20/05/2017.
Mke
wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein alipokuwa akitangaza mchango
wa Millioni nane kwa niaba ya familia yake kumdhamini Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati)
akiwa mgeni rasmi katika hafla ya uchangiaji wa Vifaa vya michezo katika
Skuli za Serikali za Zanzibar iliyofanyika jana katika viwanja vya
Ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini
Unguja,[Picha na Ikulu.] 20/05/2017.
Picha
ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein akipiga mpira wakati wa Uzinduzi wa Mashindano ya Vyuo
Vikuu ikinadisha wakati wa hafla ya uchangiaji wa Vifaa vya michezo
katika Skuli za Serikali za Zanzibar iliyofanyika jana katika viwanja
vya Ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini
Unguja,[Picha na Ikulu.] 20/05/2017.
Viongozi
na Wafanyabiashara mbali mbali wakiwa katika ukumbi wa zamani wa Baraza
la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini Unguja wakiwa hafla ya uchangiaji wa
Vifaa vya michezo katika Skuli za Serikali za Zanzibar iliyofanyika jana
katika mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),[Picha na
Ikulu.] 20/05/2017.
Baadhi
ya wawakilishi wa Makampuni ya kibiashara wakiwa hafla ya uchangiaji wa
Vifaa vya michezo katika Skuli za Serikali za Zanzibar iliyofanyika
jana katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini
Unguja mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),[Picha na
Ikulu.] 20/05/2017.
Mfanyabishara
wa Zanzibar Said Bophar alipokuwa akitangaza mchango wake mbele ya uuma
uliokusanyika katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi
Mmoja Mjini Unguja wakati wa hafla ya uchangiaji wa Vifaa vya michezo
katika Skuli za Serikali za Zanzibar iliyofanyika jana, mgeni rasmi
akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein (hayupo pichani),[Picha na Ikulu.] 20/05/2017.
Mwakilishi
wa Mamlaka ya Maji safi na Salama ZAWA Nd,Kazija Mussa Msheba
akitangaza mchango wao wa Millioni tano wakati wa hafla ya uchangiaji wa
Vifaa vya michezo katika Skuli za Serikali za Zanzibar iliyofanyika
jana,katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini
Unguja ambapo mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),[Picha na
Ikulu.] 20/05/2017.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Riziki Pembe
Juma alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa zamani wa Baraza la
Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini Unguja jana katika hafla ya uchangiaji wa
Vifaa vya michezo katika Skuli za Serikali za Zanzibar,[Picha na Ikulu.]
20/05/2017.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
na Mkewe Mama Mwanamwema Shein (katikati) wakifuatana na Waziri wa
Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Riziki Pembe Juma (kulia) walipokuwa
wakiingia katika Ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi
Mmoja Mjini Unguja jana katika hafla ya uchangiaji wa Vifaa vya michezo
katika Skuli za Serikali za Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 20/05/2017.
No comments:
Post a Comment