Rais
Dkt.John Magufuli akiwa uwanja wa Chuo cha Ushirika mjini Moshi katika
sherehe za maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani,kutoka kulia
ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angela
Kairuki,Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,Rais wa Shirikisho la vyama vya
wafanyakazi Tumaini Nyamhokwa, Waziri Jenista Joakim Mhagama Sera,
Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu,Makamu wa Rais Samia Suluhu
Hassan.
Rais
Dkt.John Magufuli akiwa uwanja wa Chuo cha Ushirika mjini Moshi katika
sherehe za maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani,kutoka kushoto
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Mhandisi John William Kijazi,Spika wa Bunge Job Ndugai ,Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan,Waziri Jenista Joakim Mhagama Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Rais wa Shirikisho la vyama vya wafanyakazi Tumaini Nyamhokwa,Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angela Kairuki, na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Said Meck Sadik
Maandamano ya wafanyakazi wakipita
mbele ya Rais Jogn Magufuli katika Viwanja vya ushirika mjini Moshi
katika maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani.
Maandamano
ya wafanyakazi wakipita mbele ya Rais Jogn Magufuli katika Viwanja vya
ushirika mjini Moshi katika maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani.
Maandamano
ya wafanyakazi wakipita mbele ya Rais Jogn Magufuli katika Viwanja vya
ushirika mjini Moshi katika maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani.
Maandamano ya wafanyakazi wakipita mbele ya Rais Jogn Magufuli katika
Viwanja vya ushirika mjini Moshi katika maadhimisho ya siku ya
wafanyakazi Duniani.
No comments:
Post a Comment