Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana
na Bw. Zhang Xin, Makamu Mwenyekiti wa Taasisi ya China National
Machinery Industry Federation (CBMIF) na mjumbe wa National Congress ya
China Bw. Zhang Xin aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es salaam Machi
23, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akizungumza
na Bw. Zhang Xin, Makamu Mwenyekiti wa Taasisi ya China National
Machinery Industry Federation (CBMIF) na mjumbe wa National.
Congress ya China Bw. Zhang Xin aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es salaam Machi 23, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa tayari
kumsindikiza na Bw. Zhang Xin, Makamu Mwenyekiti wa Taasisi ya China
National Machinery Industry Federation (CBMIF) na mjumbe wa National
Congress ya China Bw. Zhang Xin aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es
salaam Machi 23, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akimkaribisha Kaimu Balozi wa Korea Kusini nchini Mhe. Songwon Shin
aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es salaam Machi 23, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa katika
mazungumzo na Kaimu Balozi wa Korea Kusini nchini Mhe. Songwon Shin
aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es salaam Machi 23, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akimsindikiza Kaimu Balozi wa Korea Kusini nchini Mhe. Songwon Shin
aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es salaam Machi 23, 2017
|
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimlaki
Balozi wa Ufaransa nchini Mhe. Malika Berak aliyemtembelea Ikulu jijini
Dar es salaam Machi 23, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akizungumza
na Balozi wa Ufaransa nchini Mhe. Malika Berak aliyemtembelea Ikulu
jijini Dar es salaam Machi 23, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimsindikiza baada ya mazungumzo Balozi wa Ufaransa nchini Mhe. |
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na
Kaimu Balozi wa Uturuki nchini Mhe. Yunus Belei aliyemtembelea Ikulu
jijini Dar es salaam Machi 23, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa katika
mazungumzo na Kaimu Balozi wa Uturuki nchini Mhe. Yunus Belei
aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es salaam Machi 23, 2017
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment