Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na wabunge Mussa Ntimizi wa Igalula na
Felista Bura wa Viti Maalum, bugeni mjini Dodoma Mei 10, 2017.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akijadili jambo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,
TAMISEMI, George Simbachawene kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma,
Mei 10, 2017.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wabunge, Kange Lugora wa Mwibara
(kushoto) na Katani Ahmed Katani wa Tandahimba (katikati) kwenye
viwanja vya bunge mjini Dodoma Mei 10,2017.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA
(Zanzibar) Salum Mwalimu kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Mei 10,
2017.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Geita, Joseph Kasheku
Musukuma (katikati) na Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba
Kabudi kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Mei 10, 2017. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum, Mwanne
Mchemba (kushoto) na Mbunge wa Mtwara Vijijini, Hawa Ghasia kwenye
viwanja vya bunge mjini Dodoma Mei 10, 2017.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mbunge wa Mtwara Vijijini Hawa Ghasia
kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Mei 10, 2017.
No comments:
Post a Comment