Spika
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanznaia Mhe. Job Ndugai akiingia
Bungeni kwa ajili ya kuongoza kikao cha 36 cha Mkutano wa Saba Bunge la
11 Mei 29, 2017.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanznaia Mhe. Job Ndugai
akiongoza kikao cha 36 cha Mkutano wa Saba Bunge la 11 Mei 29, 2017.
Waziri
wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt Harrison Mwakyembe
akijibu maswali mbalimbali kwa niaba ya Waziri wa Katiba na Sheria
katika kikao cha 36 cha Mkutano wa Saba Bunge la 11 Mei 29, 2017.
Mbunge wa Viti Maalum Mhe. Ritha Kabati akiuliza swali katika kikao cha 36 cha Mkutano wa Saba Bunge la 11 Mei 29, 2017.
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Dkt
Agustine Maige pamoja na Naibu wake Mhe. Susan Kolimba wakijiandaa
kuwasilisha Bajeti ya Wizara yao kwa mwaka wa fedha 2017/2018 katika
kikao cha 36 cha Mkutano wa Saba Bunge la 11 Mei 29, 2017.
Waziri
Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa
akijadiliana jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge
Kazi Ajira Vijana na watu wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama katika
kikao cha 35 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Mei 26,
2017.
Naibu
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Mhe. Mhandisi Isack Kamwelwe akijibu
maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 36 cha Mkutano wa Saba
Bunge la 11 Mei 29, 2017.
Mbunge
wa Mtwara Vijijini (CCM) Mhe. Hawa Ghasia akiuliza swali katika kikao
cha 36 cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Mei 29,
2017.
Naibu
Waziri wa Afya maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Mhe. Dkt Hamis
Kigwangalla akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 36
cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Mei 29, 2017.
Waziri
wa Kilimo Mifugo na Uvuvi Mhe. Charles Tizeba akijibu maswali
mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 36 cha Mkutano wa saba wa Bunge
la 11 Mjini Dodoma Mei 29, 2017.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge Kazi Ajira Vijana na Watu wenye
Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama wakijadiliana jambo na Mbunge wa Arusha
Mjini Mhe. Godbless Lema katika kikao cha 36 cha Mkutano wa saba wa
Bunge la 11 Mjini Dodoma Mei 29, 2017.
Mbunge
wa Kalambo Mhe. Josephat Kandege akiuliza swali katika kikao cha 36 cha
Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Mei 29, 2017.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge Kazi Ajira Vijana na Watu wenye
Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama wakijadiliana jambo na Mbunge wa Mbuya
Mjini Mhe. Joseph Mbilinyi katika kikao cha 36 cha Mkutano wa saba wa
Bunge la 11 Mjini Dodoma Mei 29, 2017.
Naibu
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angelina Mabula
akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 36 cha Mkutano wa
saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Mei 29, 2017.
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Dkt
Agustine Maige akiwasilisha makadirio ya Bajeti ya Wizara yake kwa mwaka
wa 2017/2018 katika kikao cha 36 cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11
Mjini Dodoma Mei 29, 2017.
Baadhi ya wachezaji wa Timu ya Mpira wa Miguu ya Simba Kutoka Jijini
Dar es Salaam wakiwa Bungeni Mjini Dodoma Mei 29, 2017.
Baadhi
ya wabunge wakiwa na Baadhi ya wachezaji wa Timu ya Mpira wa Miguu ya
Simba wakiwa na Kombe la Ubingwa la Shirikisho(FA CUP) waliloshinda
baada ya kuwafunga Mbao Fc kwa jumla ya goli 2 -1 katika Viwanja vya
Bunge Mjini Dodoma Mei 29, 2017.
Picha Zote na Raymond Mushumbusi Dodoma MAELEZO, DODOMA
No comments:
Post a Comment