Pages

April 11, 2017

RAIS DKT. MAGUFULI AWAAPISHA WAJUMBE WA KAMATI YA PILI YA UCHUNGUZI WA MADINI YALIYOMO KWENYE MCHANGA KUTOKA MIGODINI

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli akimuapisha Profesa Nehemiah Eliachim Osoro kuwa mwenyekiti wa Kamati Maalum ya Pili itayofanya Uchunguzi wa Madini yaliyomo kwenye Mchanga kutoka kwenye migodi mbalimbali hapa nchini kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Aprili 11, 2017.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli akimuapisha Profesa Longinus Kyaruzi Rutasitara kuwa mjumbe wa  Kamati Maalum ya Pili itayofanya Uchunguzi wa Madini yaliyomo kwenye Mchanga kutoka kwenye migodi mbalimbali hapa nchini kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Aprili 11, 2017.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt Oswald Joseph Mashindano  kuwa mjumbe wa  Kamati Maalum ya Pili itayofanya Uchunguzi wa Madini yaliyomo kwenye Mchanga kutoka kwenye migodi mbalimbali hapa nchini kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Aprili 11, 2017.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Casmir Sumba Kyuki kuwa mjumbe wa  Kamati Maalum ya Pili itayofanya Uchunguzi wa Madini yaliyomo kwenye Mchanga kutoka kwenye migodi mbalimbali hapa nchini kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Aprili 11, 2017.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Usaje Benard Usubisye kuwa mjumbe wa  Kamati Maalum ya Pili itayofanya Uchunguzi wa Madini yaliyomo kwenye Mchanga kutoka kwenye migodi mbalimbali hapa nchini kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Aprili 11, 2017.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Nadrew Wilson Massawe kuwa mjumbe Kamati Maalum ya Pili itayofanya Uchunguzi wa Madini yaliyomo kwenye Mchanga kutoka kwenye migodi mbalimbali hapa nchini kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Aprili 11, 2017 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli akimuapisha Bi. Butamo Kasuka Philip kuwa mjumbe wa  Kamati Maalum ya Pili itayofanya Uchunguzi wa Madini yaliyomo kwenye Mchanga kutoka kwenye migodi mbalimbali hapa nchini kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Aprili 11, 2017.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli akiongea na wajumbe wa Kamati Maalum ya Pili itayofanya Uchunguzi wa Madini yaliyomo kwenye Mchanga kutoka kwenye migodi mbalimbali hapa nchini baada ya kuwaapisha kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Aprili 11, 2017.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli akisalimiana na Gabriel Pascal Malata na wana-Kamati Maalum ya Pili itayofanya Uchunguzi wa Madini yaliyomo kwenye Mchanga kutoka kwenye migodi mbalimbali hapa nchini kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Aprili 11, 2017.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli akiwa kwenye picha ya pamoja wana-Kamati Maalum ya Pili itayofanya Uchunguzi wa Madini yaliyomo kwenye Mchanga kutoka kwenye migodi mbalimbali hapa nchini kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Aprili 11, 2017 .

PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...