Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha
Dkt. Leonard Akwilapo kuwa Katibu Mkuu, Wizara ya elimu, Sayansi na
Teknolojia Ikulu jijini Dar es salaam leo April 5, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisiani
hati ya kiapo cha Dkt. Leonard Akwilapo kuwa Katibu Mkuu, Wizara ya
elimu, Sayansi na Teknolojia Ikulu jijini Dar es salaam leo April 5,
2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimkabidhi
nyezo za kazi Dkt. Leonard Akwilapo kuwa Katibu Mkuu, Wizara ya elimu,
Sayansi na Teknolojia Ikulu jijini Dar es salaam leo April 5, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha
Profesa Kitila Alexander Mkumbo kuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Maji na
Umwagiliaji Ikulu jijini Dar es salaam leo April 5, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisiani
hati ya kiapo cha Profesa Kitila Alexander Mkumbo kuwa Katibu Mkuu,
Wizara ya Maji na Umwagiliaji Ikulu jijini Dar es salaam leo April 5,
2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimkabidhi
nyenzo za kazi Profesa Kitila Alexander Mkumb0 kuwa Katibu Mkuu, Wizara
ya Maji na Umwagiliaji Ikulu jijini Dar es salaam leo April 5, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha
Dkt. Ave Maria Semakafu Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya elimu, Sayansi na
Teknolojia Ikulu jijini Dar es salaam leo April 5, 2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisaini
hati ya kiapo cha Dkt. Ave Maria Semakafu Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya
elimu, Sayansi na Teknolojia Ikulu jijini Dar es salaam leo April 5,
2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimkabidhi
nyenzo za kazi Dkt. Ave Maria Semakafu Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya
elimu, Sayansi na Teknolojia Ikulu jijini Dar es salaam leo April 5,
2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha
Bw. Sylvester Ambokile Mwakinyuke kuwa Balozi wa Tanzania nchini Afrika
Kusini Ikulu jijini Dar es salaam leo April 5, 2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisiani
hati ya kiapo cha Bw. Sylvester Ambokile Mwakinyuke kuwa Balozi wa
Tanzania nchini Afrika Kusini Ikulu jijini Dar es salaam leo April 5,
2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimkabidhi
nyenzo za kazi Bw. Sylvester Ambokile Mwakinyuke kuwa Balozi wa Tanzania
nchini Afrika Kusini Ikulu jijini Dar es salaam leo April 5, 2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha
Bw. Baraka Luvanda kuwa Balozi wa Tanzania nchini India Ikulu jijini Dar
es salaam leo April 5, 2017
-Rais akimkabidhi nyezo za kazi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimkabidhi
nyenzo za kazi Bw. Baraka Luvanda kuwa Balozi wa Tanzania nchini India
Ikulu jijini Dar es salaam leo April 5, 2017 -Rais akimkabidhi nyezo za
kazi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha
Bw. Charles Edward Kichere kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya mapato
Tanzania (TRA) Ikulu jijini Dar es salaam leo April 5, 2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimkabidhi
nyenzo za kazi Bw. Charles Edward Kichere kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka
ya mapato Tanzania (TRA) Ikulu jijini Dar es salaam leo April 5, 2017.
Waapishwa wakila kiapo cha maadili ya viongozi wa Umma Ikulu jijini Dar es salaam leo April 5, 2017.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Makamu wa
Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi
katika picha ya pamoja na waapishwa Ikulu jijini Dar es salaam leo April
5, 2017.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment