MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA VIONGOZI WA CCM LEO

Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt John Pombe Magufuli akiagana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake (UWT) Ndugu Amina Mwakilagi, Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole baada ya kukutana nao Ikulu jijini Dar es salaam leo Aprili 14, 2017. 
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole akiongea leo

Post a Comment

Previous Post Next Post