Mratibu wa Mradi wa kuwajengea uwezo jamii kupitia mafunzo ya usimamizi shirikishi wa misitu, Mkuhumi na mabadiliko ya Tabia Nchi (ECOPRC), Bw. Elinasi Monga akifundisha somo la mabadiliko ya tabia nchi ambalo aliweza kukazia suala la waandishi wa habari kujua visababishi na viashiria ambavyo ni vyema kujua na kuweza kuvifanyia kazi kwa ufasaha zaidi. Mafunzo hayo yaliyoanza Aprili 3 - 7, 2017 mjini Morogoro. Katika mafunzo hayo Mratibu wa Mradi huo alisema kuwa wakulima wadogo wadogo ndiyo wanaathika zaidi na mabadiliko ya tabia nchi kwa kuwa wamekuwa hawana uelewa mzuri katika masuala ya mabadiliko ya tabia nchi. Aliongeza jambo lingine linalorudisha nyuma ni serikali za mitaa kukosa mipango mikakati ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi. Mwisho alisisitiza uongozi mbovu katika sekta ya misitu huchangia uharibifu wa misitu kwa kiasi kikubwa.
`
Mratibu wa Mradi wa ECOPRC, Bw. Elinasi Monga akisisitiza jambo.
Meneja wa Mradi wa kuwajengea uwezo jamii kupitia mafunzo ya usimamizi shirikishi wa misitu, Mkuhumi na mabadiliko ya Tabia Nchi (ECOPRC), Bw. Almas Kashinde (kulia) akitoa cheti kwa mwandishi wa habari, Mussa Twangilo (kushoto) mara baada ya kumaliza mafunzo yaliyoanza Aprili 3-7, 2017 mjini Morogoro. Katikati ni Mratibu wa mafunzo hayo Bw. Richard Giliba.
Meneja wa Mradi wa ECOPRC, Bw. Almas Kashinde (kulia) akitoa cheti kwa mwandishi wa habari, James Lyatuu (kushoto) mara baada ya kumaliza mafunzo yaliyoanza Aprili 3-7, 2017 mjini Morogoro. Katikati ni Mratibu wa mafunzo hayo Bw. Richard Giliba.
Meneja wa Mradi wa ECOPRC, Bw. Almas Kashinde (kulia) akitoa cheti kwa mwandishi wa habari, Henry Mwakifuna (kushoto) mara baada ya kumaliza mafunzo yaliyoanza Aprili 3-7, 2017 mjini Morogoro. Katikati ni Mratibu wa mafunzo hayo Bw. Richard Giliba.
Meneja wa Mradi wa ECOPRC, Bw. Almas Kashinde (kulia) akitoa cheti kwa mwandishi wa habari, Beatrice Philemon (kushoto) mara baada ya kumaliza mafunzo yaliyoanza Aprili 3-7, 2017 mjini Morogoro. Katikati ni Mratibu wa mafunzo hayo Bw. Richard Giliba.
Meneja wa Mradi wa ECOPRC, Bw. Almas Kashinde (kulia) akitoa cheti kwa mwandishi wa habari, Safia Maftah (kushoto) mara baada ya kumaliza mafunzo yaliyoanza Aprili 3-7, 2017 mjini Morogoro. Katikati ni Mratibu wa mafunzo hayo Bw. Richard Giliba.
Meneja wa Mradi wa ECOPRC, Bw. Almas Kashinde (kulia) akitoa cheti kwa mwandishi wa habari, Saada Mbarouk (kushoto) mara baada ya kumaliza mafunzo yaliyoanza Aprili 3-7, 2017 mjini Morogoro. Katikati ni Mratibu wa mafunzo hayo Bw. Richard Giliba.
Meneja wa Mradi wa ECOPRC, Bw. Almas Kashinde (kulia) akitoa cheti kwa Blogger na mwandishi wa habari, Cathbert Angelo Kajuna (kushoto) mara baada ya kumaliza mafunzo yaliyoanza Aprili 3-7, 2017 mjini Morogoro. Katikati ni Mratibu wa mafunzo hayo Bw. Richard Giliba.
Meneja wa Mradi wa ECOPRC, Bw. Almas Kashinde (kulia) akitoa cheti kwa mwandishi wa habari, Josephine Mallango (kushoto) mara baada ya kumaliza mafunzo yaliyoanza Aprili 3-7, 2017 mjini Morogoro. Katikati ni Mratibu wa mafunzo hayo Bw. Richard Giliba.
Meneja wa Mradi wa ECOPRC, Bw. Almas Kashinde (kulia) akitoa cheti kwa mwandishi wa habari, Agrey Evarist (kushoto) mara baada ya kumaliza mafunzo yaliyoanza Aprili 3-7, 2017 mjini Morogoro. Katikati ni Mratibu wa mafunzo hayo Bw. Richard Giliba.
Meneja wa Mradi wa ECOPRC, Bw. Almas Kashinde (kulia) akitoa cheti kwa mwandishi wa habari, Kalokola Aporinary (kushoto) mara baada ya kumaliza mafunzo yaliyoanza Aprili 3-7, 2017 mjini Morogoro. Katikati ni Mratibu wa mafunzo hayo Bw. Richard Giliba.
Meneja wa Mradi wa ECOPRC, Bw. Almas Kashinde (kulia) akitoa cheti kwa mwandishi wa habari, Prosper Kaijage (kushoto) mara baada ya kumaliza mafunzo yaliyoanza Aprili 3-7, 2017 mjini Morogoro. Katikati ni Mratibu wa mafunzo hayo Bw. Richard Giliba. Waandishi wa habari waliohudhuria mafunzo ya Mradi wa kuwajengea uwezo jamii kupitia mafunzo ya usimamizi shirikishi wa misitu, Mkuhumi na mabadiliko ya Tabia Nchi (ECOPRC) mjini Morogoro wakiwa katika picha ya pamoja na wawezeshaji wao.
No comments:
Post a Comment