Katibu
Msaidizi Idara ya Organaizesheni, Said Bakari
Is-hak (kulia) akimkabidhi fomu za kuomba kuteuliwa na CCM, kugombea Ubunge wa Bunge la Afrika
Mashariki, Kada wa CCM, Daktari bingwa wa magonjwa ya ndani, Dk. Egina Makwabe,
wakati fomu zilipoanza kutolewa leo, kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam.
Katibu
Msaidizi Idara ya Organaizesheni, Said Bakari Is-hak (kulia)
akimkabidhi fomu za kuomba kuteuliwa na CCM, kugombea Ubunge wa Bunge la
Afrika Mashariki, Kada wa CCM, Leonce Nicholaus Mulenda, wakati fomu
zilipoanza kutolewa leo, kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM,
Lumumba jijini Dar es Salaam.
Katibu
Msaidizi Idara ya Organaizesheni, Said Bakari Is-hak (kulia)
akimkabidhi fomu za kuomba kuteuliwa na CCM, kugombea Ubunge wa Bunge la
Afrika Mashariki, Kada wa CCM, Zainab Kawawa, wakati fomu zilipoanza
kutolewa leo, kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini
Dar es Salaam.
Katibu
Msaidizi Idara ya Organaizesheni, Said Bakari Is-hak (kulia)
akimkabidhi fomu za kuomba kuteuliwa na CCM, kugombea Ubunge wa Bunge la
Afrika Mashariki, Mbunge wa Bunge hilo anayemaliza muda wake,Charles
Makongoro Nyerere, wakati fomu zilipoanza kutolewa leo, kwenye Ofisi
Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam.
Katibu
Msaidizi Idara ya Organaizesheni, Said Bakari Is-hak (kulia)
akimkabidhi fomu za kuomba kuteuliwa na CCM, kugombea Ubunge wa Bunge la
Afrika Mashariki, Dk. Evance Mujuni Reikiza, wakati fomu zilipoanza
kutolewa leo, kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini
Dar es Salaam.
Katibu
Msaidizi Idara ya Organaizesheni, Said Bakari Is-hak (kulia)
akimkabidhi fomu za kuomba kuteuliwa na CCM, kugombea Ubunge wa Bunge la
Afrika Mashariki, Kada wa CCM, Shedrack Mana Mashauri, wakati fomu
zilipoanza kutolewa leo, kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM,
Lumumba jijini Dar es Salaam.
Aliyewahi
kuwa Miss Tanzania wa mwaka 1998, Kada wa CCM, Basila Kalabha Mwanukuzi
akiwa na mtoto wake, Patrick Nubi, baada ya kuchukua fomu za kuwania
Ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu
ya CCM, mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam,leo.
Baadhi
ya makada wa CCM waliokuwa walipokuwa wakisubiri kuchukua fomu za
kuwania ubunge wa Bunge a Afrika Mashariki, wakionekana kusubiri kwa
hamu fomu hizo mmoja baada ya mwingine.
Vijana
kadhaa pia wamejitokeza kuchukua fomu hizo, mongoni mwao ni hawa,
wakisubiri kuchukua fomu katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya
CCM,Lumumba jijini Dar es Salaam.
Katibu
Msaidizi Idara ya Organaizesheni, Said Bakari Is-hak (kulia)
akimkabidhi fomu za kuomba kuteuliwa na CCM, kugombea Ubunge wa Bunge la
Afrika Mashariki, Kada wa CCM Moses Bahati Ole-Neselle.
Katibu
Msaidizi Idara ya Organaizesheni, Said Bakari Is-hak (kulia)
akimkabidhi fomu za kuomba kuteuliwa na CCM, kugombea Ubunge wa Bunge la
Afrika Mashariki, Kada wa CCM, Grace Emmanuel Sameji.
Katibu
Msaidizi Idara ya Organaizesheni, Said Bakari Is-hak (kulia)
akimkabidhi fomu za kuomba kuteuliwa na CCM, kugombea Ubunge wa Bunge la
Afrika Mashariki, Kada wa CCM, Nicholaus George Ngassa.(Picha zote na
Bashir Nkoromo)

إرسال تعليق