Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
akivuta kitambaa pamoja na Rais wa Benki ya Dunia Dkt. Jim Yong Kim
kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi katika Mradi wa ujenzi wa Makutano
ya barabara za Juu Ubungo Interchange jijini Dar es Salaam. Pembeni
kulia ni Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akipiga makofi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
akimshukuru Rais wa Benki ya Dunia Dkt. Jim Yong Kim mara baada ya
kuzindua mitambo na magari yatakayotumika katika ujenzi wa makutano ya
barabara za juu za Ubungo (Ubungo interchange) jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
na mgeni wake Rais wa Benki ya Dunia Dkt. Jim Yong Kim wakimsikiliza
Kaimu Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini TANROADS Mhandisi
Crispianus Ako aliyekuwa akielezea nama ya ujenzi huo makutano ya
barabara za juu za Ubungo(Ubungo interchange) zitakavyokuwa.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
akifurahia jambo na Rais wa Benki ya Dunia Dkt. Jim Yong Kim pamoja na
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mabarawa wakati
wakielekea kuweka jiwe la msingi ujenzi wa makutano ya barabara za juu Ubungo interchange, Ubungo jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli na
Rais wa Benki ya Dunia Dkt. Jim Yong Kim wakiwapungia wananchi mkono
wakati wakielekea kuweka jiwe la msingi ujenzi wa makutano ya barabara za juu Ubungo interchange, Ubungo jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na wananchi hawapo pichani kabla ya kuweka jiwe la msingi
katika mradi wa ujenzi wa ya barabara za juu Ubungo interchange, Ubungo jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
akifurahia jambo wakati akiwa ndani ya basi la Mwendokasi pamoja na Rais
wa Benki ya Dunia Dkt. Jim Yong Kim (anayetazama kadi yake ya DART)
wakati wakitokea kituo kikuu cha BRT-Kivukoni kuelekea Ubungo kwa ajili
ya uwekaji wa jiwe la msingi mradi wa Makutano ya barabara za juu Ubungo
interchange, Ubungo jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza jambo na Rais wa Benki ya Dunia Dkt. Jim Yong Kim wakati
wakiwa ndani ya moja ya basi la DART wakati wakitokea kituo kikuu cha
BRT-Kivukoni kuelekea Ubungo kwa ajili ya uwekaji wa jiwe la msingi
mradi wa Makutano ya barabara za juu Ubungo interchange, Ubungo jijini
Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Rais wa Benki ya Dunia Dkt. Jim Yong Kim mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Rais wa Benki ya Dunia Dkt. Jim Yong Kim mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
akiagana na Rais wa Benki ya Dunia Dkt. Jim Yong Kim mara baada ya
kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais
wa Benki ya Dunia Dkt. Jim Yong Kim wakati wakiagana na wananchi wa
Kivukoni hawapo pichani kabla ya kupanda Basi la Mwendokasi (DART)
kuelekea Ubungo jijini Dar es Salaam kwa ajili ya uwekaji wa jiwe la
Msingi Mradi wa Makutano ya barabara za juu za Ubungo jijini Dar es
Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
akimshukuru Rais wa Benki ya Dunia Dkt. Jim Yong Kim mara baada ya kutoa
hotuba yake kabla ya kuweka jiwe la msingi mradi wa Makutano ya
barabara za juu Ubungo interchange, Ubungo jijini Dar es Salaam.
Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli akipanda basi la DART-Maarufu kama Mabasi
ya Mwendokasi katika eneo la Kivukoni wakati akielekea Ubungo kuhudhuria
sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi Mradi wa ujenzi wa Makutano ya
barabara za juu Ubungo interchange, Ubungo jijini Dar es Salaam.
Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwa ndani ya basi la Mwendokasi wakati
akielekea Ubungo kuhudhuria sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi Mradi
wa ujenzi wa Makutano ya barabara za juu Ubungo interchange, Ubungo
jijini Dar es Salaam
Baadhi ya
Wananchi wakifatilia kwa makini hotuba iliyokuwa ikitolewa na Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kabla ya kuweka jiwe la
msingi Mradi wa ujenzi wa Makutano ya barabara za juu Ubungo interchange,
Ubungo jijini Dar es Salaam-PICHA NA IKULU





















Post a Comment