Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika ziara ya kushtukiza katika Bandari ya Dar es Salaam kufatilia
maagizo yake ya kudhibiti vitendo vya udanganyifu vinavyofanywa na
wafanyabiashara wanaogiza na kusafirisha mizigo ndani na nje ya nchi.

. Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
akihesabu makontena 20 yenye mchanga wa madini ambapo ameamuru kontena
hizo zisisafirishwe mahali popote.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na kutoa maagizo mbalimbali kuhusu makontena 20
(yanayoonekana nyuma) yenye mchanga wa madiniuliokuwa usafirishwe kwenda
nje ya nchi ambapo ameagiza Kontena hizo zisisafirishwe mahali popote.

Makontena
20 yenye mchanga wa madini yakiwa yamezuiwa kusafirishwa nje ya nchi na
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
mara alipofanya ziara ya kushtukiza katika bandari ya Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
akikagua nyaraka mbalimbali zenye maelezo kuhusu makontena ambayo
husafirishwa nje ya nchi katika Bandari ya Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na kutoa maagizo mbalimbali kuhusu makontena 20
(yanayoonekana nyuma) yenye mchanga wa madiniuliokuwa usafirishwe
kwenda nje ya nchi ambapo ameagiza Kontena hizo zisisafirishwe mahali
popote.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
akikagua nyaraka mbalimbali zenye maelezo kuhusu makontena ambayo
husafirishwa nje ya nchi katika Bandari ya Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
akiangalia baadhi ya magari yalivyoingizwa nchini na Wafanyabiashara
wakubwa kwa njia isiyo halali ya kudai kuwa ni makontena ya mitumba
wakati ndani yake wanaficha magari yakifahari wanayoyachanganya na
bidhaa zilizochakaa.

Moja
ya kontena likiwa lina gari ndani yake aina ya Range Rover ambapo
muagizaji alidai kuwa anaagiza mitumba lakini kumbe ndani yake anakuwa
ameficha magari ya kifahari.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza jambo na IGP Ernest Mangu mara baada ya kufanya ukaguzi
Bandarini hapo. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment