Katibu
Mkuu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Neville Meena (katikati)
akizungumza katika mkutano ana waandishi wa habari Dar es Salaam jana,
kuhusu tamko la vyombo vya habari la kususia kuandika habari za matukio
ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ambaye ijumaa iliyopita
alivamia kituo cha Clouds Media usiku akiwa na askari waliokuwa na
bunduki. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Dar Press Club, Shadrack Sagati
na Mjumbe wa TEF, Lillian Timbuka.
Meena
ambaye alisoma tamko la pamoja la TEF, Dare sSalaam Press Club na
Umoja wa Vilabu vya Habari nchini akijibu moja ya maswali ya wanahabari
Wanahabari wakiwa kazini




إرسال تعليق