ANGALIA WAZIRI GEORGE SIMBACHAWENE ALIVYOWAONGOZA WADAU WA LAPF KUFANYA MAZOEZI ARUSHA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Miko na Serikali za Mitaa(Tamisemi)George Simbachawene(kushoto),Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo(katikati) na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa mfuko wa Pensheni wa LAPF,Profesa Faustine Bee wakiwaongoza wananchi kufanya mazoezi ikiwa ni sehemu ya mkutano wa tisa wa LAPF

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Miko na Serikali za Mitaa(Tamisemi)George Simbachawene( wa pili kushoto),Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo(katikati) na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa mfuko wa Pensheni wa LAPF,Profesa Faustine Bee,kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa mfuko huo,Eliud Sanga wakiwaongoza wananchi kufanya mazoezi ikiwa ni sehemu ya mkutano wa tisa wa LAPF

Mazoezi yakiendelea

Matembezi yalifanyika kwenye mitaa mbalimbali ya jiji la Arusha.

Matembezi yalifanyika kwenye mitaa mbalimbali ya jiji la Arusha.

Askari polisi nao waliunga mkono maagizo ya Makamu wa Rais,Mh Samia Suluhu Hassan kufanya mazoezi ili kuepuka magonjwa yasiyoambukizwa.

Post a Comment

أحدث أقدم