Wananchi Kisiwani Pemba wakishiriki
katika Mradi wa Tasaf 3 wa kuchimba bwawa la maji katika Shehia ya Ole
Pemba, ili kujiandaa kwa kuhifadhi maji ya mvua wakati wa msimu wa
masika ukiaza ili kupata maji hayo kwa matumizi ya Kilimo na mifugo.
Bwawa hilo lilikuwepo na kujifukia kwa mchanga.
Wananchi kisiwani Pemba katika Shehia ya
Ole wakishiriki katika Mradi huo wa uchimbaji wa bwawa hilo
ukifadhiliwa na Tasaf 3. kwa Wananchi wa Kaya Masikini.
No comments:
Post a Comment