Mkaguzi
wa Magari wa Jeshi Polisi , Ibrahim Samwix akikagua basi la leo yenye
namba za T 735 DFX usajili katika kituo kikuu cha mabasi Ubungo jijini
Dar es Salaam.
Mkaguzi
wa magari wa Polisi Sajeti , Elisante Bulla akikagua basi la kampuni ya
Imo yenye namba za usajili T 773 CVX ambapo alibaini kukosa mikanda na
kuirudisha ndani ya kituo cha mabasi Ubungo leo jijini Dar es Salaam.
Mkaguzi
wa magari wa Polisi Sajeti , Elisante Bulla akikagua basi la kampuni ya
Islam na kubaini kukosa langi katika mgongo wa basi hilo na kung’o
namba za usajili ili wakapake rangi katika kituo kikuu cha mabasi Ubungo
leo jijini Dar es Salaam.
06.Sehemu ya mabasi yakisubiri abiria wa mikoa mbalimbali leo katika kituo kikuu cha mabasi Ubungo leo jijini Dar es Salaam.
Mkaguzi
wa Magari wa Jeshi Polisi , Ibrahim Samwix akimuonyesha mwaandishi wa
blog hii vifaa ambavyo vilikuwa vibovu katika mabasi ambavyo walileta
baina kubaini makosa hayo leo jijini Dar es Salaam.
Mkaguzi
wa magari wa Jeshi la Polisi, Jackson Mafuru akifanya ukaguzi wa basi
katika kituo kikuu cha mabasi Ubungo leo jijini Dar es Salaam.
Picha na Emmanel Massaka,Globu ya Jamii.
Picha na Emmanel Massaka,Globu ya Jamii.
No comments:
Post a Comment