Pages

January 26, 2017

MAONESHO YA KILIMO YA AGRI TECH YAWAVUTIA WENGI MKOANI ARUSHA

Mtaalamu wa Mawasiliano wa taasisi ya Agriculture Markets Development Trust(AMDT),Al-amani Mutarubukwa(kulia)akitoa maelezo kwa Mkuu wa wilaya ya Arusha,Gabriel Daqarro(wa pili kulia)kuhusu taasisi hiyo inayowajengea uwezo wakulima  katika mazao ya Ufuta na Mahindi katika mikoa mbalimbali nchini.

Meneja  wa Kampuni  ya Monsanto nchini,Frank Wenga(kulia)akizungumza na wakulima waliofika kwenye maonesho hayo kujifunza mbinu za kilimo chenye tija.

Wakulima kutoka maeneo mbalimbali wakipata elimu  ya matumizi ya kilimo bora na chenye tija.

Wakulima wakipata maelezo kutoka kwa wataalamu namna ya kupata mazao bora

Mmoja wa wakulima wakiangalia mazao yaliyostawisha kwa kufuata kanuni za kilimo

Mkuu wa wilaya ya Arusha,Gabriel Daqarro akifungua maonesho ya siku mbili ya kimataifa unaofanyika kwenye viwanja vya taasisi ya Utafiti wa Kilimo Selian(Sari)jijini Arusha.

Sehemu ya mitambo iliyopo tayari kwaajili ya wakulima.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...