Soko
la Magomeni ambalo limejengwa katika Wilaya ya Bagamoyo kwa ufazili wa
programu ya miundombinu ya masoko,uongezaji thamani na huduma za
kifedha Vijijini(Mivarf) uliopo chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu .
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Walemavu
Mhe.Jenista Mhagama akipitia ripoti ya utekelezaji wa miradi
inayotekelezwa na halmashauri ya wilaya ya Bagamoyo kwa ufazili wa
programu ya miundombinu ya masoko,uongezaji thamani na huduma za
kifedha Vijijini(Mivarf) ulio chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu.Kushoto kwa
waziri ni Mbunge wa bagamoyo Mhe.Shukuru Kawambwa,Mbunge wa Chalinze
Mhe.Riziwani Kikwete na Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo Bw.Majid Hemed
Mwanga
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Walemavu
Mhe.Jenista Mhagama akiangalia moja ya vyumba vilivyopo katika soko la
Magomeni lililopo katika miradi inayotekelezwa na halmashauri ya wilaya
ya bagamoyo kwa ufazili wa programu ya miundombinu ya
masoko,uongezaji thamani na huduma za kifedha Vijijini(Mivarf) ulio
chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu.Kulia kwa waziri mwenye miwani ni Mratibu
wa Mradi huo Bw.Walter Swai.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Walemavu
Mhe.Jenista Mhagama akikagua ubora wa milango katika soko la Magomeni
lililojengwa katika wilaya ya bagamoyo kata ya magomeni kupitia mradi
miradi inayotekelezwa na halmashauri ya wilaya ya bagamoyo kwa ufazili
wa programu ya miundombinu ya masoko,uongezaji thamani na huduma za
kifedha Vijijini(Mivarf) ulio chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu.
Mbunge
wa Jimbo la Chalinze Mhe.Ridhiwani Kikwete akizungumza na wakazi wa
kiwangwa,Chalinze wakati Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu
Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Walemavu Mhe.Jenista Mhagama
alipotembelea mradi wa barabara unaotekelezwa na Halmashauri ya wilaya
ya Chalinze kwa ufazili wa programu ya miundombinu ya
masoko,uongezaji thamani na huduma za kifedha Vijijini(Mivarf) ulio
chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Walemavu
Mhe.Jenista Mhagama akijibu maswali mbalimbali aliyoulizwa na wananchi
wa kiwangwa,Chalinze wakati alipotembelea miradi inayotekelezwa na
halmashauri ya wilaya ya Chalinze kwa ufazili wa programu ya
miundombinu ya masoko,uongezaji thamani na huduma za kifedha
Vijijini(Mivarf) ulio chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Walemavu
Mhe.Jenista Mhagama na Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mhe.Ridhiwani Kikwete
wakifuatilia kwa makini hoja mbalimbali za wananchi wa
kiwangwa,Chalinze wakati waziri uyo alipotembelea miradi inayotekelezwa
na halmashauri ya wilaya ya Chalinze kwa ufazili wa programu ya
miundombinu ya masoko,uongezaji thamani na huduma za kifedha
Vijijini(Mivarf) ulio chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu.
Picha na Daudi Manongi-MAELEZO.
No comments:
Post a Comment