Pages

December 21, 2016

HIVI NDIVYO HALI ILIVYO KARIAKOO KUELEKEA SIKUKUU ZA KRISMAS NA MWAKA MPYA

Wakazi wa Dar es Salaam na maeneo ya jiwani wakiwa wamefurika kwa wingi katikati ya Mtaa wa Congo, Kariakoo katika harakati ya kupata mahitaji mbalimbali kwa maandalizi ya sikukuu za Krismas na Mwaka mpya, hali hii imekuwa ni kawaida kutokea katika eneo hili la Karikakoo hasa inapofika wakati wa kukaribia sikukuu. picha na Emmanuel Massaka,Globu ya Jamii.
Wakinamama wakiewa katika zoezi la kusagula sagula viwalo mbalimbali vya kutokea sikukuu.
Pilika pilika za hapa na pale.
Katika kipindi kama hiki, hutokea wakati usafiri huwa ni wa gombania goli.

Machinga wakiendelea kushusha mizigo.




No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...