Rais
na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la EngenderHealth, Ulla Muller
akizungumza na wadau wa afya na wadau wa Elimu kuhusiana na Uzazi wa
Mpango wakati wa hafla fupi iliyofanyika jijini Dar es Salaam kwaajili
ya Kumkaribisha hapa nchini.
Naibu Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la EngenderHealth, Feddy Mwanga akizungumza na wadau wa Afya na elimu wakati wa kumkaribisha Rais na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la EngenderHealth, Ulla Muller jijini Dar es Salaam.
Rais
na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la EngenderHealth, Ulla Muller
akizungumza na wadau wa afya pamoja na wadau wa elimu katika hafla fupi
ya kumkaribisha hapa nchini.
Mkurugenzi
Mkazi wa shirika la EngenderHealth hapa nchini, Richard Killian
akibadilishana mawazo na baadhi ya wadau wa afya na elimu katika hafla
ya Kumkaribisha Rais na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la EngenderHealth,
Ulla Muller hapa nchini.
No comments:
Post a Comment