Meneja
Masoko wa Tbl Group ,George Kavishe (kulia) na Kaimu Meneja Mkuu wa
Kampuni ya Konyagi Tanzania (TDL) Devis Deogratius (kushoto) wakiteta
jambo wakati walipokuwa wakiwaonyesha waandishi wa habari( hawapo pichani) moja ya zawadi ya magari wakati wa kutambulisha wa zawadi za kampeni iliyoendeshwa kwa wasamabazaji wake ya
NUNUA,UZA,SHINDA NA KONYAGI iliyodumu kwa muda wa wiki 12 iliyoanza
Julai mpaka Septemba 2016 hafla hiyo ilifanyika kwenye ofisi za
Konyagi Chang’ombe jijini Dar es Salaam.
Moja ya zawadi ya magari ya Kampeni ya Nunua Uza ,Shinda na Konyagi kwa wasambazaji wake nchini yaliyotambulishwa kwa waandishi wa habari kwenye ofisi za Tanzania Distilleries Limited(TDL) jijini Dar es Salaam.
Kaimu
Meneja Mkuu wa Kampuni ya Konyagi Tanzania (TDL) Devis Deogratius
(kushoto) akiongea na waandishi wahabari wakati wa kutambulisha zawadi za kampeni iliyoendeshwa kwa wasamabazaji wake ya
NUNUA,UZA,SHINDA NA KONYAGI iliyodumu kwa muda wa wiki 12 iliyoanza
Julai mpaka Septemba 2016.Katikati ni Kaimu meneja wa huduma za masoko
wa Konyagi, George Kavishe. hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es
Salaam.
Kaimu Meneja wa huduma za masoko wa Konyagi George Kavishe (katikati) akiongea na waandishi wahabari wakati wa kutambulisha zawadi za kampeni iliyoendeshwa kwa wasamabazaji wake ya
NUNUA,UZA,SHINDA NA KONYAGI iliyodumu kwa muda wa wiki 12 iliyoanza
Julai mpaka Septemba 2016 hafla hiyo ilifanyika leo kwenye ofisi za
Konyagi Chang’ombe jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Kaimu Meneja Mkuu wa
Kampuni ya Konyagi Tanzania (TDL) Devis Deogratius
Meneja
Masoko wa TBL Group, George Kavishe akijaribu kuendesha moja zawadi ya
gari wakati wa kutambulisha kwa waandishi wahabari (hawapo pichani)
zawadi za kampeni iliyoendeshwa kwa wasamabazaji wake ya
NUNUA,UZA,SHINDA NA KONYAGI iliyodumu kwa muda wa wiki 12 iliyoanza
Julai na inakaribia kuika mwisho, hafla hiyo ilifanyika kwenye ofisi
za Konyagi Chang’ombe jijini Dar es Salaam.
Kampuni
ya Tanzania Distilleriers Limited (TDL) inayotengeneza na kusambaza
kinywaji maarufu cha Konyagi na jamii zake, imezitambulisha zawadi
za kampeni iliyoendeshwa kwa wasambazaji wake kwa kampeni iliyojulikana
kama NUNUA, UZA, SHINDA NA KONYAGI iliyodumu kwa muda wa wiki 12. Toka Mwanzo wa Julai mpaka Mwisho wa mwezi Septemba 2016.
Akizungumza katika hafla hiyo iliyofanyika katika Ofisi za Konyagi Changombe - Dar es salaam, Kaimu Meneja Mkuu wa Kampuni ya TDL, Bwana Devis Deogatius “Tunazitambulisha
zawadi hizi kwa ili watu waamini kwamba tulichohaidi tumetekeleza,
tunafahari kubwa kwa jinsi kampeni hii ilivyoongeza chachu ya manunuzi
na wasambazaji wetu walifanya kazi nzuri .Tutakabidhi magari haya katika
hafla mbili, droo ya kwanza itafanyika Mbeya siku ya Ijumaa tarehe 07
Oktoba katika ukumbi wa Mbeya City Pub na itahusisha wasambazaji wa
mikoa ya Kusini na Nyanda za juu Kusini.
Droo
ya pili itafanyika Mjini Moshi tarehe 13 Oktoba katika ukumbi wa Kili
Home na itahusisha wasambazaji wa Kanda ya Kaskazini na Kanda ya
Magharibi mikoa ya Kanda ya Ziwa. Dhumuni kuu la kampuni yetu ya TDL
kuendesha kampeni hii ni kwanza kabisa kuwainua wasambazaji wa bidhaa
zetu kwa kuwapa nafasi ya kushinda vitendea kazi. Tuliwapa malengo na
waliofikia wataingizwa kwenye droo ili kujishindia magari
mapya mawili ya usambazaji (Eicher 3 Tonne Truck zenye thamani ya zaidi
ya milioni 110). Tunaamini kwa magari haya wasambazaji wetu wataweza
kurahisishwa utendaji wao ndani ya maeneo yao ya mauzo”
Pia, kupitia shindano hili tutaweza kuchangia maendeleo ya kichumi nchini pamoja na jamii kwa ujumla. Aliendelea kusema.
Naye
Kaimu Meneja wa huduma za Masoko wa Konyagi Bwana George Kavishe “ ni
faraja yetu kubwa tukiona huduma za bidhaa zetu zikiboreshwa kila mara
na kuwafanya wasambazaji wetu wawe na motisha ya kuendelea kufanya kazi
na sisi tunawashukuru sana kwa wale waliofanikisha programu hii.
Maandalizi yote ya droo kwenye mikoa ya Mbeya na Kiimanjaro yamekamilia
na tupo imara.
01.Moja ya zawadi ya magari ya Kampeni ya Nunua Uza ,Shinda na Konyagi kwa wasambazaji wake nchini yaliyotambulishwa kwa waandishi wa habari kwenye ofisi za Tanzania Distilleries Limited(TDL) leo jijini Dar es Salaam.
02.Kaimu
Meneja Mkuu wa Kampuni ya Konyagi Tanzania (TDL) Devis Deogratius
(kushoto) akiongea na waandishi wahabari wakati wa kutambulisha zawadi za kampeni iliyoendeshwa kwa wasamabazaji wake ya
NUNUA,UZA,SHINDA NA KONYAGI iliyodumu kwa muda wa wiki 12 iliyoanza
Julai mpaka Septemba 2016.Katikati ni Kaimu meneja wa huduma za masoko
wa Konyagi, George Kavishe. hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es
Salaam.
No comments:
Post a Comment