Mkuu
wa wilaya ya Hai,Gelasius Byakanwa akizungumza mara baada ya kupokea
msaada wa tofali 2300 kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vitatu vya madarasa
katika shule ya msingi Msamadi iliyopo wilayani Hai.
Mkurugenzi
wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi,Joyce Msiru
akimueleza jambo Mkuu wa wilaya ya Hai,Gelasius Byakanwa wakati wa
kukabidhi madawati kwa ajili ya shule ya msingi Msamadi.
Mkuu
wa wilaya ya Hai,Gelasius Byakanwa akiongozana na Mkurugenzi wa Mamlaka
ya maji safi na usafi wa mazingira mjini Moshi (MUWSA),Joyce Msiru
wakitizama ujenzi wa madarasa matatu unaoendelea katika shule ya msingi
Msamadi iliyopo wilayani Hai.
Mkuu
wa wilaya ya Hai,Gelasius Byakanwa akipeana mkono na Mwalimu Mkuu wa
shule ya Msamadi ,Seseama Bayo mara baada ya kupokea matofali 2300
yaliyotolewa na Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini Moshi
(MUWSA).
Mafundi wakishusha tofali zilizotolewa na MUWSA kwa ajili ya ujenzi wa madarasa matatu katika shule ya msingi Msamadi.
Mkurugenzi
wa Mamlaka ya maji safi na usafi wa Mazingira mjini Moshi(MUWSA) Joyce
Msiru akimueleza jambo Mkuu wa wilaya ya Hai,Gelasius Byakanwa .wengine
ni watumishi wa mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini Moshi.
Jengo
jipya lenye madarasa mawili katika shule ya msingi Msamadi ambalo kwa
kiasi kukamilika kwake kutasaidia kupunguza changamoto ya vyumba vya
madarasa shuleni hapo.
Moja
ya madarasa yaliyopo shuleni hapo kama linavyoonekana ambapo wanafunzi
wamekuwa wakikaa chumba kimoja kwa idadi kubwa kuliko uwezo wa darasa.
No comments:
Post a Comment