HUYU NDIYE MWANAFUNZI ALIYEPATA UFAULU WA KIWANGO CHA JUU MATOKEO YA DARASA LA SABA 2016 TANZANIA
Huyu ndiye Japhet Stephano wa Shule ya Msingi Kwema Modern wilayani Kahama mkoani Shinyanga, aliyeshika nafasi ya kwanza kitaifa katika matokeo ya darasa la saba mwaka 2016.
No comments:
Post a Comment